NANI MKALI?


BREAKING NEWS KUTOKA MANZESE!

Wanafunzi wa shule ya secondari manzese zaidi ya 30 muda huu wanaanguka hovyo na kusema  maneno yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa kuna nguvu za Giza zimetanda shuleni hapo huku wakijibamiza kwenye miti.

YEEE....!!!


ENHEEE...

Photo

NJOO...!!!

Utanielezea nyumbani!

DUH!


STAMINA ANAOMBA KURA YAKO!

Cover Photo

DAR LIVE MBAGALA!

RAISI KIKWETE AJEREA NCHINI.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais, Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe Raymon Moshi mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya Kusini, alikohudhuria mkutano wa nchi za SADC.



TWENZETU!

Dodoma tangu jana ilizizima kwa maarifa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwemo wa muziki. Show hiyo iliyokuwa mahususi kwa kuzindua msimu mpya wa Clouds fm, ililenga pia kuzindua rasmi harakati za kuzuia wizi wa kazi za sanaa na wasanii, kuonesha na kusimamia fursa kwa vijana.

Made in Tanzania! Tupende bidhaa zinazozaalishwa nchini, kwa kuwaunga mkono walishaji wazalendo! Twenzetu!

UMEONA?

how do you call this in your mother tongue?

MH!

5SELEKT (09:00Mchana): Funky Friday Show, CRAZZZZYYYY!!!!

Chek hii ya leo hapa, Kuna Bonge la Surprise huku ndani kwa wale wote wanaopenda kudance.

TBway 360 <> Baby Dramma wanafanya hii, Andika Comment hapa sema na sisi ______________________________________!

CHEMBA TOPIC: Unaonaje hii tabia ya Kutokeana/Kutongozana kwenye simu? Haswa kwenye kuchat??.

GO!!!!

ANGALIA UMEZALIWA LINI NA KWA NINI!


DORIA YA ANGA YASHINDIKANA MLIMA KILIMANJARO



Serikali imesema mpango wa kufanya doria za anga katika Mlima Kilimanjaro kwa kutumia helkopta, haujapata mafanikio kutokana na hali ya hewa pamoja na mazingira ya mlima huo.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alisema hayo jana alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Betty Machangu, aliyeuliza kwa nini Serikali isitumie helkopta katika doria zake kwenye mlima huo lengo likiwa ni kuwadhibiti wahalifu.

Katika majibu yake, Nyalandu alisema kutokana na mlima huo kuwa na msitu mnene uliofunga na kuuzunguka mlima huo, miteremko, makorongo na mito iliyopo inakuwa vigumu kuona wahalifu walio chini kama doria za helkopta zikitumika.

MPIGIE KURA KUWA PRODUCER BORA

Huyu ndiye Producer anayefaa kuukuza muziku wa Bongo flava, tumchague.

OMMY DIMPOZ KWA POZ!

PEACE FOR EVERY ONE IN TZ

UNAIONAJE?

Mtandao gani huyu jamaa atakua anatumia eti?
Usisahau LIKE page yetu jamani

MAUAJI ARUSHA

KANISA ARUSHA,YALIPULIWA KWA BOMU!

Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph
Mfanyakazi, Parokia ya Olasisi
Mkoani Arusha lalipuliwa, watu
watatu wafariki dunia na
wengine 50 wajeruhiwa wakati
... wa uzinduzi wa Kanisa hilo ibada
iliyokuwa ikiongozwa na balozi
wa Papa Nchini.

SERIKALI YAFUTA MATOKEO!


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, akiwasilisha kauli ya serikali Bungeni Dodoma jana kuhusu taarifa ya awali ya Tume ya Taifa ya kuchunguza matokeo ya mtihani wa taifa wa Kidato cha nne wa mwaka 2012.




Serikali imechukua uamuzi mgumu na kuamua kuwafariji wanafunzi waliofeli mitihani ya kuhitimu kidato cha nne mwaka 2012 baada ya kufuta matokeo hayo na kuamua yaandaliwe upya kwa kutumia utaratibu uliotumika mwaka 2011.


Uamuzi huo wa Serikali umetokana na matokeo mabaya ya mitihani huo yaliyosababisha zaidi ya asilimia 60 ya wanafunzi kupata sifuri.
 

Kutokana na matokeo hayo, Serikali iliunda Tume inayoongozwa na Profesa Sifuni Mchome kuchunguza matokeo hayo ili kupata ufumbuzi wa kudumu.


UNAFICHA USO KWA MKOROGO?

Photo

TRENI, RELINI

Her family was expecting to see their child coming back from work around 6pm unfortunately she  lost her life @train station.elokufa alitsheli  guys so let's pass our condolences by saying RIP to da poor Girl,ignore if u are heartles.

#Banzo#

AJINYONGA BAADA YA UHURU KUPATA URAISI!



Raia mmoja nchini Kenya amejinyonga baada ya Mahakama ya Juu kuidhinisha ushindi wa Uhuru Kenyatta kuwa Rais wa Kenya.

Mkuu wa polisi wa eneo hilo Richard Bitonga alisema mwanamume huyo alijitia kitanzi nje ya nyumba yake katika kituo cha kibiashara cha Lwanda, eneo bunge la Nyatike.

Baadhi ya wakazi walisema marehemu alikuwa ametisha kujitoa uhai ikiwa Odinga hangeshinda kesi ya kupinga uchaguzi wa urais. “Alisema hakuona sababu ya kuendelea kuishi katika ulimwengu huu ikiwa Odinga hatakuwa Rais wa nchi hii,” alisema mkazi Samuel Otieno, ambaye ni mchimba dhahabu

LEMA AMTUMIA SALAMU MULONGO!



 Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amewatumia salamu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, John Mongela akiwataka wasithubutu kuvuruga uchaguzi wa kata nne utakaofanyika mwezi ujao.

Uchaguzi mdogo wa kata nne za wilaya za Arusha umepangwa kufanyika Juni 16, mwaka huu.
Akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Ngarenaro, Arusha Lema alisema yeye na wafuasi hawatakubali kuona wakipokonywa haki yao ya kuchagua viongozi wanaowataka kwenye uchaguzi huo.

Amemtunishia misuli Mkuu wa Mkoa ikiwa siku chache baada ya kuachiwa kwa dhamana baada ya kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za uchochezi.

Mbunge huyo anatuhumiwa kuwahamasisha wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha kumzomea Mulongo wakati alipokwenda kuwatuliza walipotishia kuandamana baada ya kifo cha mwanafunzi mwenzao, Henry Kago, wiki iliyopita. “Ninawatahadharisha viongozi hawa wasithubutu kutumia vyombo vya dola kwa nia ya kukipa ushindi Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye kata hizo. Waache uchaguzi ufanyike kwa amani.

STYLE MPYA YA KUPANGA FOLENI BANK!

Daaah! hii ni njia iliyotumika kupanga foleni benki, kama umeipenda niruhusa kushea na watu wako mtu wangu wa nguvu

KURA YAKO, TUPIA HAPA.

Kura yako muhimu nyumbani

NAFASI YA KAZI, STAR TIMES

Photo: NAFASI ZA KAZI
Star Media (Tanzania) Limited tunatoa nafasi za kazi katika Idara ya PR na Media 

Location:  Tanzania
Job Category: PR na Media 
Department: Marketing, Media & Brand
Work Type: Full Time
Salary Not specified
Application Deadline: May20, 2013
JOB OBJECTIVE
We are a leading marketing services company seeking to appoint an experienced Communications & PR professional to strengthen our Communication management team. The PR Officer will help to provide an effective PR & Media service to our clients via the day to day running of the press office. This would be a great opportunity enabling the individual to develop their career within public relations in a truly rewarding role aiding a fantastic organization to communicate and publicize their great work.
To ensure smooth and efficient operations of the PR & Media services of the company and to be able to Complete the tasks assigned at the headquarter and to be able to achieve the goals and objectives of the company at the right time.
SKILLS AND COMPETENCIES
• Have a very good communication skills
• Very smart and good looking
• Monitor, follow up our advertisement and make sure they are online on time.
• Collect and keep report from newspapers and all media.
• Have a good relationship with all media
• Reactive and proactive media relations
• PR planning and research
• Drafting online and offline communications materials
• Management of the social media channels
• Co-organization with all or branches and department. Making sure they do marketing issues- TV,RADIO,editing.



Qualifications and Experience

• Must be a girl between 27-35years of age
• Be able to fluently and cohesively communicate relevant research internally and externally
• Have experience in writing and distribution of press releases alongside experience in digital and online communications
• The successful candidate will be able to demonstrate previous experience of working with PR & Media companies 
• Must have at least a Degree in PR & Media and 
• 2 years of working experience from a fast paced Organization
• Possesses Critical thinking, decision-making and problem solving skills
• Identify main client groups and audiences and determine the best way to communicate publicity information to them.

• Write interesting and effective press releases, prepare information for media kits and develop and maintain company internet or intranet web pages.
• Develop and maintain the company's corporate image and identity, which includes the use of logos and signage.
• Manage communications budgets.
• Draft speeches for company executives, and arrange interviews and other forms of contact for them.
• Establish and maintain effective working relationships with local and municipal government officials and media representatives


APPLICANT INSTRUCTIONS
Send you CVs via this email hrmanager@startimes.co.tz

Usisahau ku “SHARE” posti ili kuweza kuwapa ndugu zako habari njema hii!!!

Star Media (Tanzania) Limited tunatoa nafasi za kazi katika Idara ya PR na Media

Location: Tanzania
Job Category: PR na Media
Department: Marketing, Media & Brand
... Work Type: Full Time
Salary Not specified
Application Deadline: May20, 2013


APPLICANT INSTRUCTIONS
Send you CVs via this email hrmanager@startimes.co.tz


Waweza kutembelea website yoa kwa maelezo zaidi, www.startimes.co.tz

KIPANYA LEO

MBOWE: MAJANGILI SASA, WANASAGA MENO YA TEMBO



Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii ilizidi kulitikisa Bunge baada ya jana Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kusema kwamba kuna viwanda vinavyosaga meno ya tembo kabla ya kuyasafirisha nje.

Akichangia hotuba ya wizara hiyo, Mbowe alisema majangili wamekuja na mbinu hiyo mpya kwa lengo la kukwepa kunaswa na vyombo vya dola.

Alisema hivi sasa meno hayo hayasafirishwi kwa meli kama zamani na badala yake kuna viwanda nchini ambavyo huyasaga meno hayo na kisha kusafirishwa kama unga kupitia viwanja vya ndege.

ADAIWA KUWADHULUMU WASANII HAKI ZAO!

HUYU NDIYE RUGE ANAYETUHUMIWA KUWADHULUMU WASANII HAKI ZAO

Moja ya story zilizozagaa katika mitandao ya kijamii.

"DINI TUMELETEWA"-AFANDE SELE Feat.BELLE 9

"DINI TUMELETEWA"-AFANDE SELE Feat.BELLE 9 http://alturl.com/7xi4j

MAMBO 6 MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI UNAISHI HAPA DUNIANI!

 TUCHAPIANE: The famous kenyan band "Sauti Sol" in their song "Money Lover" waliuliza swali moja noma sana:
"ni heri kulia kwenye Range Rover ama umecheke kwenye boda boda?"
Which on would you preffer...to live a happy and fulfilling life but still be poor, ama to have everything and be unhappy?

Jiachilie with @[405556899517368:274:Solloo] Kanana na King Kafu ndani ya Brekko

1. kuwa na subra na
kuvumilia katika maisha hakika ya
... maisha ni mapambano

2.mpende anae
kuchukia hakika hata akikuchukia wapo
watakao kupenda
 3.Usiendekeze chuki
na shari, hakika zinaongeza hasad
katika moyo wa mwanadamu

4.usilipize kisasi kwa anae kutendea
mabaya hakika utapata yalo mazuri
katika dunia

5.anya ibada kwa wingi
hakika ibada inao ngeza furaha katika
moyo wa mwanadamu

6.watendee
wema wazazi wako wawili hakika
utapata maisha

AKILI NA BRAIN, VYOTE VYAKE!

Amka na Magic sasa iko hewani. Ungana na Orest, Mary na Salum wakati wakiianza siku pamoja nawe. Kama kawaida saa la kwanza ni uchambuzi wa kilichomo magazetini.

AKON KATIKA MWONEKANO MPYA!

Photo

SPEAK KISWAHILI, NO KIRANGI!

Hapa ni katika shule ya sekondari Chagaa Wilayani Kondoa kwenye Mkoa wa Dodoma ambako Wanafunzi wa hii shule hutumia zaidi lugha ya Kirangi kuliko Kiswahili na Kiingereza, hivyo wamepewa onyo hapa..... unaweza kushea post hii na wengine waone mtu wangu

Chagaa, shule ya sekondari huko mkoani Dododoma, wanafunzi wake hawajui kiswahili wala kiingereza, zaidi ya lugha yao ya asili!

LEO NI SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

sunrise IKO ON AIR sasA!!

LEO NI SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI, UNADHANI SERIKALI INAWAPA WAANDISHI WA HABARI MAZINGIRA MAZURI YA UTENDAJI KAZIIIIIIIIIIII?????

JK AKUBALI USHAURI KUHUSU WAALIMU



Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa kuna haja ya kuruhusu ajira za walimu kutoka katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki ili kuweza kupunguza tatizo la upungufu wa walimu wa sayansi na kuboresha kiwango cha Elimu ya Tanzania.

Kauli hiyo ya Rais imekuja baada ya Shirikisho la Wamiliki, Mameneja wa shule na Wakuu wa vyuo Binafsi Tanzania (Tamongsco) kumweleza kuwa walimu kutoka nchi za Afrika Mashariki wamekuwa wakilazimika kulipia dola 1,500 kwa ajili ya kibali cha kuja kufanya kazi hapa nchini.

Kikwete alisema kuwa katika mambo ambayo nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekubalina katika suala la ajira ni pamoja na kila nchi kueleza ajira ambazo inazifungua na ambazo itazifunga nchini kwake.

MTANZANIA AWA WAZIRI, RWANDA.



RAIS Paul Kagame wa Rwanda amemteua Mtanzania, Profesa Silas Rwakabamba kuwa Waziri wa Miundombinu wa nchi hiyo katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanyika Jumatatu iliyopita.

Kabla ya uteuzi huo, Profesa Rwakabamba alikuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Rwanda. Ni mmoja wa mawaziri wanaoingiza sura mpya katika Baraza la Rais Kagame ambalo amelifanyia mabadiliko kwa kuunda wizara nyingine mpya.

Msomi huyo alikwenda Rwanda mwaka 1997, baada ya kuombwa na Rais Kagame ambaye alikwenda UDSM kuwaomba baadhi ya wahadhiri kwenda Kigali kufungua chuo kikuu katika taifa lake baada ya kumalizika vita ya wenyewe kwa wenyewe mwaka 1994.

Profesa Rwakabamba alizaliwa katika Kijiji cha Bushagara, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera. Alipata elimu ya msingi huko Muleba na akajiunga na Shule ya Sekondari ya Ihungo.

Baada ya hapo, alijiunga na Chuo Kikuu cha Leeds, Uingereza na kupata Shahada ya Uhandisi mwaka 1971 na 1975 alipata Shahada ya Uzamivu katika fani hiyohiyo.
 

UTEKAJI WATU TZ:BAADA YA KIBANDA, NANI ATAFUTA?



Tukio lingine ambalo lilishtua wengi ni la kuawa kwa Padri Evarist Mushi, Paroko wa Parokia ya Minara Miwili , Zanzibar. Yeye, aliuawa kwa kupigwa risasi kichwani na kufa papo hapo...

KATIKA USHINDANI WA KISIASA, CCM IKO HOI, HAI?



Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa chama Chama mapinduzi,
“Vijana ni lazima wawe na mawazo ya kujitegemea kwa kuanzisha miradi mbalimbali ndipo Serikali inaweza kuwasaidia. Ninapokutana na vijana ambao wamejikusanya na kuanzisha mradi kwa lengo la kujiajiri ninafarijika kuchangia fedha ili kuwaongezea nguvu.”

Redd's Miss Tanzania ni nani kati ya hawa?



Mkurugeni wa Kampuni ya Lino Agency inayoandaa shindano la Redds Miss Tanzania, Hashim Lundenga (wa pili kushoto) akiwapa somo fupi warembo wanaoshiriki katika shindano la kumtafuta mshindi wa Redd's Miss Dar Indian Ocean jijini Dar es Salaam jana

MWAAAH...!

Oh Yeah!

HUKU CCM, KULE CHADEMA, MPAKA KIELEWEKE!


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Fire, Morogoro jana.

“Wananchi msikubali kuongozwa na watu wasiokubali maendeleo. Tumejenga hospitali wamesema hakuna kitu, tumejenga barabara hawataki, tumetimiza ahadi za maji katika maeneo mengi hawataki, kila kitu hawataki, sasa hawa ni watu wa namna gani? Akili za kuambiwa changanya na zako,”

BABA!

Ukiwa Baba kubali yote

LUSHOTO, TANGA.

Photo

SHAROBARO MEEN!

Sharoßaro Meeen !!
Yup kazidishA,,,,,,,,,,

PREZO!

Photo