KASYOME NI NANI?


Kasyome ni jina la ukoo linalosimama katika blog hii badala ya kumtambulisha Justin Kasyome ambaye ni mhariri mkuu (pichani).
Amekuwa na kiu ya kujaribu kuwaunganisha na kutangaza lugha na utamaduni wa WanaAfrika Mashariki tangu mwaka 2005 alipoanza kazi ya uandishi akiwa ni mwanzilishi wa gazeti la Darubini (alipokuwa mwanafunzi wa sekondari )

Kielimu, anajua kusoma na kuandika.

1 comment:

Anonymous said...

Loooo,