Bandari ya Dar es Salaam,hasara kwa Taifa.

EAST AFRICA BREAKFAST..(12 Asubuhi) Ripoti ya Benki Dunia iliyotoka jana imesema Tanzania inapoteza ya dola za kimarekani bilioni 1.8 (Trilioni 2.9) kutokana na ukosefu wa ufanisi katika Bandari ya Dar-es-salaam...nini maoni yako?
Ripoti ya Benki ya Dunia iliyotoka jana imesema Tanzania inapoteza ya dola za kimarekani bilioni 1.8 (Trilioni 2.9) kutokana na ukosefu wa ufanisi katika Bandari ya Dar-es-salaam.

2 comments:

sara j said...

jaman nin tena serikali yetu tutafika kweli

Justin Kasyome said...

Sara, usishangae sana maana hata serikali ni binadamu kama sisi, tukishirikiana tunaweza kufika mbali!ila tukiwaachia wtu Fulani, eti kwa kuwa wako madarakani, hatuwezi kufika kweli!