Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Binadamu wote ni sawa.Wana haki sawa ya kupata elimu ya AWALI hadi CHUO KIKUU.Je wewe ni darasa la saba,kidato cha nne au kidato cha sita "felia"?Usikate tamaa.Soma.Inawezekana kuendelea hadi taasisi za elimu ya juu!Kumbuka uthubutu ni mtaji zaidi ya pesa na kadri unavyosoma ndivyo unavyokuwa mjanja zaidi na inakupa urahisi wa maisha.Anza leo!
0 comments:
Post a Comment