1.Sitaki na wala sitasahau siku nilipochalazwa viboko na mwalimu wangu wa darasa enzi zileee baada ya kufanya kazi kwa bidii.Tena aliyoniagiza yeye!
2.Ninapenda moral life ndio maana nafanya kazi kufa na kupona!
3.Ninapenda kusaidia wengine.Tatizo ni cash!
4.Ninapenda sana kusifiwa ninapofanya yale yanayohitaji kufagiliwa.Lakini huwa ninazuga kama sipendi kwa kujichekesha chekesha inapotokea hali hiyo!
5.Nawachukia sana watu wanoziba harakati za maendeleo ya watu wengine.
.Sipendi kudanganywa.Nachukia uongo kama treni ya kati(kutoka Kigoma kuja Dar) ya sasa ilivyo hapa bongo!
7.Napenda kuimba muziki.Nitakapopata angle ntafanya hivyo!
8.Napenda kuwa bling bling muda wote!
9.Napenda kuwabusu mademu 'busu la kibongo' lakini naogopa ngoma!
No comments:
Post a Comment