DAR 2 KASULU!


Safari yangu kutoka Dar mpaka Kasulu ilikuwa tamu sana!Leo natimiza wiki na siku sita sasa!Namshukuru Mungu kwa kunifikisha salama!Bila shaka bilika pilika za kampeni zitakwisha vyema pamoja na michongo mingine ya kimaendeleo!

No comments: