TANGAZO KWA WASANII WA FILAMU!

Mradi wa kuibua vipaji vya sanaa, IFA Tanzania, wanakuja na mafunzo maaalumu ya ujasiriamali wa filamu (INTERPREFILM COURSE). Sikiliza Tangazo lao hapa;
INTERPREFILM COURSE
- Utunzi na uandishi wa story (Screenwriting)
- Uigizaji na Upangaji wasanii (Acting & Casting)
- Uzalishaji na Uongozaji (Producing & Directing)
- Ubunifu wa Sauti (Sound Designing)
- Upigaji Picha (Cinematography)
- Uhariri wa Sinema (Editing)
- Masoko (Marketing)
WAKATI WA MAFUNZO
- Mwanafunzi atapatiwa kitambulisho, Tshirt maalumu na kukutanishwa na wadau na wasanii wakubwa ili kupanua uelewa wake.
BAADA YA MAFUNZO
- Itafanyika filamu ya mafunzo kwa vitendo (Practical Film) kuthibitisha uelewa wa mwanafunzi.
- Vyeti vya uthibitisho vitatolewa kwa wote.
- Msanii kuajiriwa na kampuni wasimamizi, wadau au kujiajiri mwenyewe!
MUDA WA KOZI: Miezi mitatu (3)
KUANZIA: Tarehe 21/02/2011
FORM ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA KWA Tsh.1O,000/= Chuoni - Chuo Cha Elimu Kuu sanaa,mkabala na Club Sun Cirro,Sinza Legho au waweza kuzipata form pia ndani ya salon ya kimue ya Mate Barbarshop,Ubungo Riverside,mkabala na Landmark Hotel.

Kwa mawasiliano, Piga au sms 0714 169665 au 0754 679057

No comments: