WANAUME BURUNDI WAMZIMIA LADY JAYDEE!


"Jaman natamani kumwona live huyu dada!"
Michael,rafiki yangu Mrundi,ananiambia. Tumekaa katika kona moja ya viunga vya jiji la Darisalama,tukibadilishana hili na lile kuhusu hii burudani.
"Yaani anapendwa sana nchini kwetu...!" anaendelea kufafanua.
Hapa anamzungumzia mwanamuziki Mtanzania Lady Jay Dee ambaye kwa tathmini yake anaonekana kukubalika zaidi nchini kwake.
Ila anapendwa zaidi na wanaume kuliko kawaida!
Gadna, unaisikia hiyooooooooooooooo!

No comments: