
Kitabu hicho kilichooandikwa na Nyaisa Simango, miongoni mwa abiria walionusurika, kinapatikana katika vituo vifuatavyo:
1. Novel Idea- City Centre na Slip way
2. Soma Book Cafe- Regent Estate
3. Mwenge Best book shop - Mwenge
4. Scholarstica book shop -- Mlimani city
5. Salamander book shop --- City centre
6. General book Seller -- City Centre
7. Dar es salaam Printers -- City centre
8. DUP -- University of Dar es salaam
Arusha
Kase store
Moshi
Mwenge best book shop
Tarime/ Musoma
Gimunta Champion Traders Ltd
Iringa
Tanzania Literature Centre
Baada ya kukisoma nimegundua kuwa ajali ile ya mei 21, 1996, wakati naanza darasa la kwanza, ilitokana na tamaa ya pesa! Ndio, meli ilijaza abiria na mizigo kupita kawaida i.e overcapacity! Check nayo hapa ajali yote
No comments:
Post a Comment