Mikopo kwa wanafunzi
Baada ya bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu hapa bongo kufunguliwa ambayo ni www.heslb.go.tz. Nimefanikiwa kupata sehemu nyingine ambayo unaweza kupata mkopo wa kusoma bila mashariti magumu.Ni mikopo kwa wanafunzi wanojiendeleza au kuanza masomo abroad(kadri nilivyoelewa).Unachotakiwa kufanya ni kwenda kwenye mtandao wao na kusoma mambo wanayoyahitaji.Ni rahisi sana kuyatimiza.Fungua www.internationalstudentloan.com/international_student/ .Nimeipata sasa hivi.
No comments:
Post a Comment