Manzese CCM Internate Cafe

Hapa niko Cafe moja iitwayo Manzese CCM cafe.Hii ni internate amabayo iko kwenye jengo la ofisi ya CCM.Bila shaka wamiliki ni wana-CCM wenyewe(sina hakika).Wakati nataka kublogu hapari amabyo ilitaka kuiweka nimepata habari nyingine na il niyotaka kuiweka hewani naiweka kapuni.Haikunivutia kama hii ya sasa.Hawa jamaa wavyotoa huduma ni burudani na kicheko.Kwanza unapoingia tu unaambiwa usicheze games,usisikilize music,video clips haziruhusiwi wala drivers!Lengo langu lilikuwa kucheki video ya mwanamuziki Ay aliyekuwa mwanachama wa East Cost
Team.Kwa hiyo sikufanya lolote.Hadi sasa najiandaa kuhamia cafe nyingine ili nikaburudike!

No comments: