Hadi dakika 90 zinamalizika Yanga ilikuwa inaongoza kwa holi 2 bil majibu kutoka kwa Yanga.
Dakika ya 28 Simba walipata penati, akapiga Mussa 
Mudde na kukosaDk 27 
PENALLLLTTY......! Simba inapata penalti baada ya Cannavaro kumchezea vibaya 
Mrisho Ngassa.
Didier Kavambagu anaipatia Yanga bao la 
kuongoza
Dakika ya 63, Hamis Kiiza anaipatia Young Africans bao la pili - Young Africans 
2 - Simba SC 0
Jamaa baada ya kumalizika kwa match hii, akakutwa analia maeneo ya Msimbazi..
 





 
 
 
 
 
 
 
 
1 comment:
ha haaa haaa! lazima tuwapakate!!
Post a Comment