Watu wanodaiwa kuwa ni polisi wameivamia nyumba ya mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema wakimtaka atoke nje waondoke nae. Inasemekana ni kutokana na kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa chuo cha uhasibu na kudhalilishwa na kuondolewa kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa huo.
No comments:
Post a Comment