Hapa wako katika pozi baada ya mafunzo darasani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Binadamu wote ni sawa.Wana haki sawa ya kupata elimu ya AWALI hadi CHUO KIKUU.Je wewe ni darasa la saba,kidato cha nne au kidato cha sita "felia"?Usikate tamaa.Soma.Inawezekana kuendelea hadi taasisi za elimu ya juu!Kumbuka uthubutu ni mtaji zaidi ya pesa na kadri unavyosoma ndivyo unavyokuwa mjanja zaidi na inakupa urahisi wa maisha.Anza leo!
3 comments:
naamini hawajakosea kuwa hapo kwani ndio chemichemi ya ya elimu ya sanaa yenye manufaa
sina shaka nao hata kwa mbali,naamini wanaweza na IFA ndio nyumba ya vipaji na taaluma ya sanaa
Watanzania tujitokeze kwa wing kupata elimu hii kutoka IFA TANZANIA.
Post a Comment