TANGAZO KWA WASANII WA FILAMU

Kampuni ya burudani ya Global Idea Promotions,inatamgaza nafasi za wasanii wa filamu watakaocheza kwenye filamu zake zinazotarajia kuanza kutolewa hivi karibuni.
-Usaili utafanyika tarehe 17/10/2009,jumamosi,saa 4:00 asubuhi,katika ukumbi wa TECHONOLOGY PUB (Zamani ukifahamika kama KIMBOKA BAR),Kinondoni,Manyanya,mtaa wa Brazil.
-Fomu za kujiunga zinapatikana kwa Tsh.10,000/= katika vituo vifuatavyo:
1.Digital Brain,Posta Mpya.
2.Sunrise Photo Studio na Global Idea Promotions,Millenium Tower,Kijitonyama.
-Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 16/10/2009 saa 11;00 jioni.
Kwa mawasiliaono zaidi piga 0714169665 au 0713427857.
Kama vipi tuwasiliane nikuunganishe moja kwa moja!

No comments: