Siku zote nimekua nikizunguka zunguka katika mitandao tofauti tofauti na kuwasiliana na watu wa aina mbalimbali ili kutoa mchango wangu kwa wasomaji wangu.
Kama zali nikakutana uso kwa uso na Co-ordinator wa Chuo Kikuu cha Succees cha Uingereza kwa hapa Tanzania.Nimezungumza naye mengi,ila kilichonivutia zaidi ni mtindo wake alionao!
Mbali na kuishi nchi mbali mbali za ndani na nje ya Africa na kuamua kurudi nchini kuwa mwakilishi wa taasisi kubwa ya elimu duniani,ameamua kufungua kituo cha kutoa mafunzo ya Kiingereza cha kuongea na kuandika kama vile umezaliwa Uingereza!
Soma Tangazo alilonitumia ili nikufikishie:
JE UMESOMA ENGLISH KOZI MBALIMBALI NA BADO HAZIJAKUSAIDIA? KUNA UFUMBUZI WA UHAKIKA! AU UNAPENDA KUPATA MAFUNZO YA KUSILIKILIZA NA KUONGEA KILA SIKU KIINGEREZA KWA LAFUDHI YA AMERICAN AU BRITISH ENGLISH?
BADO HUJACHELEWA,HUU NI WAKATI WAKO WAKUJIANDIKISHA. FIKA KATIKA CHUO CHETU CHA MAENDELEO NA MAFANIKIO KINACHOTOA MAFUNZO HAYA KWA KUTUMIA NJIA YA KISASA (KOMPYUTA) KWA BEI SAWA NA BURE.KWA KIMOMBO :- ”ENGLISH COMPUTERIZED LEARNING”
TUPO MNAZI MOJA, JENGO LA CLOCKTOWER, BARABARA YA UHURU, GHOROFA YA 4, CHUMBA NUMBER 401 NHC.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU 0716 21 44 00 – Mwalimu Abel.
USIKOSE HII NAFASI YAKO. SOMA NA UFANIKIWE!!
No comments:
Post a Comment