Kasome Urusi

Kama kuna wakati huwa ninajisikia raha sana maishani,basi ni pale ninapoona siku imeisha nimefanikisha mtu fulani amefuhai!
Ni muda mrefu umepita sijapandisha habari.Lakini naamnini utanisamehe!!
Waone hawa jamaa nao:
GLOBAL EDUCATION PLACEMENT
Physical Address;
Raha Towers(Sophia House)
34 Bibi Titi Mohamemed Road/
Azikiwe Street,Dar es Salaam,
Tanzania.
Email:fypilot@cats-net.com
Hawa watakusaidi kwenda kusoma nchini Urusi!

No comments: