Wakati unaisubiri unaweza pioa kuchangia maoni yako juu ya snopsys yake!
Rose ni mototo pekee katika familia tajiri nchini Tanzania.Anampata mchumba aitweye Africa na anatamani kuolewa naye!Tatizo pekee linalomsumbua yeye pamoja na familia yake ni ugonjwa wa kifafa!Inaaminika wanaume wengi hasa wa kisasa,hawapendi kuoa mwanamke mwenye ugonjwa huo!
Rose anaamua kumficha Africa kwa kuamini kuwa kutokana na pesa za familia yake,ugonjwa huo utatibika kabla Africa hajagundua!Siku moja kabla ya utambulisho wa uchumba wao kwa wazazi,wazazi wa Rose wanapoteza maisha katika ajali mbaya ya ndege wakiwa safarini nchini Marekani kibiashara.
Taarifa anazipata kupitia vyombo vya habari.Anapatwa na mshituko na kukimbizwa hospitali.Huko mchumba wake anapewa tarifa ya tatizo linalomsumbua ikiwa ni pamoja na kifafa!
Fuatilia Last Kiss Of My Life kwani mambo mengi zaidi yameongezwa!
Blog yake iko jikoni kwa jina la www.lastkissofmylife.blogspot.com
2 comments:
Dah!Kaka kasyome hawa jamaa wanatisha!Hivi ni nani ameleta wazo la jina hili!Ila jamani huyu Africa hana mapenzi ya kweli!Yaani anamtosa hivi hivi Rose,kisa kifafa?jaman!
Me naona rose pia ana makosa!angemwambia tu ukweli Africa huenda wangeelewana mapema!
Post a Comment