KUSOMA BILA KUELIMIKA NA KUELIMIKA BILA KUSOMA
Katika nchi nyingi za Ki-Afrika,Tanzania,ikiwemo,takwimu zinaonesha elimu inazidi kushuka.Lakini kushuka huko kunashuhudiwa na wanaoiongoza elimu,bila kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo.Wakati natafakari na kujiuliza maswali mbalimbali,huku nikifyatua fyatua miguu ya "click" kwenye vitoa habari tofauti tofauti mtandaoni,hatimaye nikafika hapa.Soma uende sambamba na fikra zangu,halafu ikibidi uwe miongoni mwa wanaohisi kuwa na jukumu la kuinua elimu na kuindeleza kwa kukuendeleza.
2 comments:
Big up justin,
i real like your blog as it is getting better and better as days go on. hope you will be one of the prominent bloggist and journalist in the near future,
Cheers and keep kicking on.....
Baraka sam, your bogwe ex-teacher
Ni kweli kaka,uyasemayo yanaukweli!Wabongo wengi hatuna uthamini wa elimu kabisa....
Ni bora tuungane kwa dhati kupiga vita ujinga katika nchi yetu hakuna mwingine anyeweza kuja kutukomboa zaidi yetu wenyew kwani mwenye nchi ni mwananchi!
Post a Comment