Je wewe ni msanii?Hauna kundi?Ungependa kutoka kisanaa?Majibu yako yote yanajibiwa na YAMOYA ART GROUP.Kundi la ki-Tanzania kwa kushirikiana na THE SUNY kutoka Kenya.Wanatafuta wasanii wenye vipaji amabo hawajawahi kuigiza sehemu yoyote ili waandaliwe kwa sanaa ya maigizo ya filamu.Kikubwa ni nidhamu na kujituma.Wanapatikana Club Afri Center,Msimabzi center,makabala na Lamada Hotel,Ilala.Mwisho wa kupokea wasanii ni tarehe 25/09/2007.Njoo wewe,yule na wao.Usimsahau rafiki yako!Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0713 364 175 au 0755 217 383 e-mail justinkasyome@yahoo.com.
Karibu YAMOYA ART GROUP, tujenge mapinduzi ya kweli ya sanaa ya Tanzania inayokua kwa kasi.
2 comments:
Justin,
Karibu kwenye ulimwengu wa blog.Tuko pamoja,ukihitaji msaada wowote wa kimawazo tafadhali usisite kuwasiliana.
Asante ndugu yangu.Tuko pamoja.
Post a Comment