WABUNGE WA "MUSEVENLAND" WAKAMATWA INDIA!

Kampala Uganda.
Inasadikiwa, Polisi wa India wanawahoji wabunge wa Uganda kwa kujaribu kujipatia kiasi cha fedha 50 bilioni za udanganyifu kutoka kwa wakurugenzi wanne wa Videocon na makao makuu ya kampuni ya kuzalisha umeme nchini humo.

Habari hii unaweza kuisoma kwa undani zaidi kupitia gazeti la Mwananchi kwa kugonga hapa.

No comments: