Pia, hatua hiyo inatokana na kutokuwapo kwa ukaguzi wa vifaa mbalimbali vya ujenzi yakiwamo matofali ya saruji yanayotumika katika ujenzi wa nyumba hizo.
NYUMBA ZA DAR HATARINI KUBOMOKA!
Imebainika kuwa nyumba nyingi zilizopo jijini Dar es Salaam na maeneo mengine ya nchi, zipo hatarini kubomoka kutokana na kujengwa kwa matofali yasiyokuwa na ubora.
Pia, hatua hiyo inatokana na kutokuwapo kwa ukaguzi wa vifaa mbalimbali vya ujenzi yakiwamo matofali ya saruji yanayotumika katika ujenzi wa nyumba hizo.
Pia, hatua hiyo inatokana na kutokuwapo kwa ukaguzi wa vifaa mbalimbali vya ujenzi yakiwamo matofali ya saruji yanayotumika katika ujenzi wa nyumba hizo.
No comments:
Post a Comment