LULU AANZA KUIGIZA

Stori zilizotufikia hivi punde zinasema LULU, muigizaji janki kwa umri,nguli kwa kazi, aliyehusishwa na mauaji ya nguli wa filamu Tanzania, marahemu Steven Kanumba, ameanza kuigiza tena.

No comments: