CHIDUMULE!


Chidumule ni mwanamuziki Mrundi,anayesaka tonge lake nchini Kenya.Mara ya kwanza kumsikia,ilikuwa ni kupitia kituo cha redio cha Isanganiro,cha pale Bujumbura.Track yake ya Rufu(Kifo)ilinivutia sana!

No comments: