Tangu nilipotoa habari siku ya Nyerere (Nyerere Day),hauwezi amini,leo ndio ninapata nafasi ya kujinafasi!Ndio.Kila nilipojaribu nilishindwa.Sababu account iliniletea ufisadi.Nilishindwa ku-sign in eti nimesahau password!Mbona leo imefunguka sasa.Tena kwa password ile ile!