VYUO NA UFADHILI

Kwa wale wanafunzi wenye mzuka wa kwenda kusoma majuu wanaweza kuwasiliana na hawa jamaa www.uwasa.fi (hawa wako finland) au UK kupitia chuo cha Swansea www.swansea.ac.uk au Norway ambako elimu hutolewa bure!Wasiliana na chuo cha Oslo kupitia www.uio.no/english.Haya kazi kwenu.Jirambe!!!