Nimehamia hapa kuanzia sasa!
Karibu sana.Ninakushukuru sana pia kwa kuchagua kutemblea hapa kijini kwangu baada ya muda mrefu kupekua pekua pale na kule!Nakukaribisha tena tuongee na kujadili kuhusu sisi wao yeye na vile!.Ninatoa yale yanayonizunguka mimi na yanyotuhusu sote.Kama ilivyo kawaida ya vyombo vya habari:Kuburudisha na kuelimisha.Hapa pia tutayashika yote yanayo husu habari.Nasema tena 'Ulakoze chane!'(ni lugha ya kiha nikimaanisha aksante sana!)Karibu!
No comments:
Post a Comment