Kitabu cha hadithi.




Niko kwenye mishemishe za kutoa kitabu changu cha kwanza cha hadithi.Hadithi ambayo inahusu vijana wawili waliokutana mitaa flani.Wakaanzisha uhusiano na baadae uhusiano huo inakufa na kupoteza uhai mahali pale pale ulipoanzia!.Jana jioni nilikua na jamaa mmoja ambaye ni Dj maarufu wa radio maarufu hapa bongo.Niliongea nae juu ya kitabu changu mambo mengi.Picha hiyo ni mahali ambapo ni jirani na kituo hicha cha radio kilichoko katikakati ya jiji la Kandoro.


No comments: